Welcome

Thursday, May 30, 2013

The HEROES-Diploma one 2012/2013 ISW

Diploma one hatimaye waingia fainali mashindano ya interclasses 2012/2013
 Baadhi ya wachezaji wa diploma one wakiwa wanapanga mambo mawili matatu kuhusu mchezo waendao kucheza Upande wa kulia ni kocha wa timu bwana Anuary mgallu na msaidizi wake upande wa kushoto bw. Kelvin Buretta.

No comments:

Post a Comment